Inua Jamii
Gusa Maisha Leo

Siri ya Kusimama
ni Kuinua Wengine

Mchango wako mdogo au mkubwa unawezesha miradi ya maendeleo ya jamii, elimu ya uraia, na utunzaji wa mazingira chini ya Nyanyuka Afrika Foundation.

Tunza Mazingira
Uhifadhi wa Mazingira

Linda Urithi wetu
kwa Kizazi Kijacho

Kupitia kampeni za "Ziara Yangu, Mti Wangu" tunalinda vyanzo vya asili. Ungana nasi kuleta mabadiliko ya kijani kibichi Tanzania.

Malipo ya Kadi / Simu

Visa, Mastercard & Mobile Money

Visa Mastercard Secured by Flutterwave

Akaunti ya Benki

Mchango wa ana kwa ana au Benki

NMB
NMB BANK PLC
Jina: Nyanyuka Afrika Foundation

Namba: 51710102544

Tawi: Dodoma

Inafaa kwa michango ya moja kwa moja kutoka matawi ya NMB, mawakala wa NMB Karibu, au mifumo ya Mobile Banking.

Weka Ahadi Yako

Sajili mchango au vifaa vya msaada